RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA17 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akijiandaa kuweka saini ya Kanuni
za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida
wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha Jana Machi 2, 2016
Rais Paul Kagama wa Rwanda akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha Jana Machi 2, 2016
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo Machi Jana, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha Jana Machi 2, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongoza Mkutano huo Jana
Wanafunzi walioshinda mashindano ya Insha ya EAC wakipata selfie na viongozi baada ya Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha Jana Machi 2, 2016

Kijana Simon Sahaya Mollel (18) wa Shule ya Sekondari ya Mzumbe ya mjini Morogoro akionesha dola 1500 alizopewa kama zawadi baaya ya kuibulka mshindi wa kwanza wa kuandika Inshawakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha Jana Machi 2, 2016