WATAALAM WAJADILI MENEJIMENTI YA MAAFA KWA AJILI YA MAANDALIZI YA KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI YA TAIFA YA URATIBU WA MAAFA NCHINI (TANDREC)
Mkurugenzi wa Idara ya
Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya akifuatilia hoja za wajumbe
wa Kikao cha Wataalam kutoka
Wizara, Idara na Taasisi za serikali (hawapo pichani), walipokutana kwa ajili
ya maandalizi ya kikao cha Kamati ya Taifa ya Uratibu wa maafa nchini (TANDREC),
tarehe
15 Machi, 2016, Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya
Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya akiwaongoza wajumbe kupitia makabrasha ya Kikao cha
Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali walipokutana kwa ajili ya maandalizi
ya kikao cha Kamati ya Taifa ya Uratibu wa maafa nchini (TANDREC), tarehe 15 Machi, 2016, Jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ambaye pia ni Kamishna wa Operesheni, Rogatius Kipali
akipitia
makabrasha ya Kikao cha Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali walipokutana
kwa ajili ya maandalizi ya kikao cha Kamati ya Taifa ya Uratibu wa maafa nchini
(TANDREC), tarehe 15 Machi, 2016, Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali wakipitia makabrasha
ya kikao walipokutana kwa ajili ya maandalizi ya kikao cha Kamati ya Taifa ya
Uratibu wa maafa nchini (TANDREC), Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Machi, 2016.
Afisa Maafa wa Jeshi la Wananchi, Kanali
Mohamed Mwakalikene akipitia makabrasha ya Kikao cha Wataalam kutoka
Wizara, Idara na Taasisi za serikali walipokutana kwa ajili ya maandalizi ya
kikao cha Kamati ya Taifa ya Uratibu wa maafa nchini (TANDREC), tarehe 15
Machi, 2016, Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali wakipitia makabrasha
ya kikao walipokutana kwa ajili ya maandalizi ya kikao cha Kamati ya Taifa ya
Uratibu wa maafa nchini (TANDREC), Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Machi, 2016.