SIKU YA UTAMADUNI WA KARAGWE KUFANYIKA TAREHE 21-22 MAY 2016
Ndugu wadau,
Kutakuwa na hitimisho la siku ya utamaduni ambapo wananchi wa Karagwe wataadhimisha utamaduni wa mnyambo ikiwa ni pamoja na kutambua historia na waliojitolea kuhakikisha hostoria hiyo haipotei.
Kutakuwa na hitimisho la siku ya utamaduni ambapo wananchi wa Karagwe wataadhimisha utamaduni wa mnyambo ikiwa ni pamoja na kutambua historia na waliojitolea kuhakikisha hostoria hiyo haipotei.
Kutakuwa na Majadiliano kuhusu utamaduni na historia ya
Karagwe Utakao sikamamiwa na wataalamu wa historia kwa kushirikiana na
Unesco hapo tarehe 20 May, 2016.
Tarehe 21 May amboyo ndio kilele kutakuwa na maonesho na ya
ngoma, amjiganbo, mieleka na malikale za Karagwe zilizotengenezwa karne
zipatazo tatu mpaka nne zilizopita. Kutakuwa na machapisho mbali mbali
yanayoonesha utajiri wa historia ya Karagwe.
Itakuwepo sherehe ya kuwatambua wana historia walioandika
historia na tamadumi za Karagwe. Mfano, Marehemu Prof. Katoke, Marehemu
Stanslaus Bashungwa, na wengine kama Prof. Birgita Farellius, Speke,
Stanley na wengine wengi.
Zitaoneshwa picha zilizochorwa kwa mkono na Speke na wenzie zaidi ya miaka 200 iliyopita.
Zitaoneshwa picha zilizochorwa kwa mkono na Speke na wenzie zaidi ya miaka 200 iliyopita.
Kutakuwa na mashindano ya mpira wa miguu na zawadi zitatotolewa. Nitaendelea kutoa updates kwa kadri tunavyoisogelea siku hiyo.
mawasiliano
Bullet Ruhinda
0754040242
Frontline Ruhinda
0757026908
mawasiliano
Bullet Ruhinda
0754040242
Frontline Ruhinda
0757026908