MATUKIO YA PICHA SHUGHULI YA MATANGA MSIBA WA OMULANGIRA DOMICIAN KYAI
Muonekano wa Kaburi lenye Mwili wa Marehemu
Bwana Honest Mushobozi pichani wakata akiwasili kushiliki Misa ya Matanga ya
Fr .Medericus Kyaruzi wa Parokia ya Mugana akiongoza Misa ya Shukrani ya Omulangira Domician Kyai katika shughuli ya matanga iliyofanyika nyumbani kwake kijijini Kikukwe Kanyigo
Baadhi ya watoto wa Marehemu Omulangira Domician Kyai wakishirika Ibada hiyo kwa ajili ya Baba yao mpendwa
Fr .Medericus Kyaruzi akiendelea kuongoza misa hiyo
Shughuli ya Ibada ikiendelea
Mama Justuce Lugaibula akitoa sadaka katika misa ya matanga ya Omulangira Domician Kyai
Utaratibu wa kutoa sadaka ukiendea
Ndugu Rutta mmoja kati ya watoto wa Marehemu Omulangira Domician Kyai akielekea kutoa sadaka.
Sehemu ya watoto wa Marehemu Omulangira Domician Kyai wakiendelea na Ibada
Sehemu ya ndugu wa familia hii wakiendelea kushiriki Misa maalum kwa ajili ya Matanga.
Omulangira Domician Kyai pichani kushoto na wanae ,kulia ni Mlangira Justuce Lugaibula
Bi Anna Lugaibula akisiriki Misa maalum kwa ajili ya matanga ya Omulangira Domician Kyai
Kijana Delius Lugaibaula akiwa na swaiba yaka Joha Rugenge.
Bwana Rama Issa pichani kushoto, katikati ni kijana Delius na kulia ni Rais wa Kanda ya ziwa mpambanaji Joha Rugenge
Mama Justuce katika picha na Mkwe wake Mrs Desdry Rutta
Mmoja wa ndugu wa familia hii wakiendelea kushiriki Misa maalum kwa ajili ya Matanga.
Mtoto mkubwa kwa kuzaliwa na Marehemu Omulangira Domician Kyai
Muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri katika katika shughuli ya matanga ya Omulangira Domician Kyai iliyofanyika nyumbani kwake kijijini Kikukwe Kanyigo juma lililopita
Mtoto Mkubwa wa Marehemu Omulangira Domician Kyai akikabidhi baasha yenye michango ya familia kwa ajili ya kusupport Ujenzi wa Kanisa Kikukwe Kanyigo
Neno la shukrani kutoka katika familia pamoja na michango mbalimbali kwa ajili ya ujenzi wa kanisa unaoendelea kijijini Kikukwe Kanyigo
Burudani ya kikundi cha ngoma kutoka Ruzinga iliyoandaliwa na wajukuu wa Marehemu Omulangira Domician Kyai.
Baadhi ya wajukuu wa Omulangira Domician Kyai wakifuatilia kinachojiri
Mdau Edwin Damacen ambaye ni mjuu wa Marehemu Omulangira Domician Kyai akifanya kuchukua matukio kwa ajili ya kumbukumbu
WanaRuzinga wakiendelea kutoa burudani katika sughuli hii ya kuanua Matanga msiba wa mpendwa wetu Omulangira Domician Kyai
Wajukuu wa Marehemu Omulangira Domician Kyai wakiendelea kuigiza 'OKUSILIBYA' kwa kuonyesha bidhaa mbalimbali alizopendelea kutumia Babu yao
Kikwetu kwetu maswala ya kimila yakiendelea kuchukua kasi
Ng'ombe maalum aliyeandaliwa na wajukuu katika kutekeleza maswala ya mila na desturi
Wadau mbalimbali waliosiriki katika shuguli hii ya Matanga ya Omulangira Domician Kyai
Muendelezo wa matukio yaliyojiri katika shughuli hii ya Matanga ya Omulangira Domician Kyai iliyofanyika mwishoni mwa juma lililopita.
Wajukuu wa Marehemu Omulangira Domician Kyai wakiendelea kuigiza 'OKUSILIBYA'enzi za maisha ya uhai wa Babu yao kutokana na mila na desturi

Wakati wajukuu wakiingia Ukumbini
Wanafamilia wakipata picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu
Wanafamilia wakiongozwa na Fr .Medericus Kyaruzi wa Parokia ya Mugana katika eneo la kaburi
Katika picha anaonekana Honest Mushobozi,anaefuata ni Edwin Damacen na kulia kabisa ni Mdau Rutta Dasdery pamoja na wadau wengine
Wadau katika picha ya pamoja
Huko jikoni nako mambo si haba....!
Katika picha anaonekana Mulangira Justuce na kipandio chake aina ya 'Land cruiser Prado' akiwasili kushiriki shughuli ya Matanga ya mpendwa wake Marehemu Omulangira Domician Kyai
Tukio pichani mkubwa Justuce Lugaibula akipata mvinyo