MFUMO WA UCHAMBUZI WA UHAKIKA WA CHAKULA NA LISHE WABORESHWA
Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brg. Jen, Mbazi
Msuya akisisitiza umuhimu wa Mfumo wa Uchambuzi wa Uhakika wa Chakula na
Lishe (MUCHALI) wakati akifungua semina ya uboreshaji mfumo huo mjini
Morogoro, tareehe 1 Juni, 2016.
Baadhi ya washiriki kutoka Wizara, Taasisi na Idara za Serikali wakifuatilia uwasilishaji wa mada za umuhimu wa Mfumo wa Uchambuzi wa Uhakika wa Chakula na Lishe (MUCHALI) wakati akifungua semina ya uboreshaji mfumo huo mjini Morogoro, tareehe 1 Juni, 2016.

Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brg. Jen, Mbazi Msuya (mwenye suti) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki kutoka Wizara, Taasisi na Idara za Serikali mara baada ya kufungua semina ya uboreshaji wa Mfumo wa Uchambuzi wa Uhakika wa Chakula na Lishe (MUCHALI) mjini Morogoro, tareehe 1 Juni, 2016.