Balozi Wilson Masilingi, akizungumza na Watanzania wa Jumuiya ya Kiislamu waishio Washington DC
Msikilize kwa makini Balozi Wilson Masilingi, katika (slid uadio video) iliopo hapo juu akizungumza na Watanzania wa Jumuiya ya Kiislamu waishio Washington DC (TAMCO) mara baada ya Iftar ilioandaliwa rasmi na jumuiya hiyo, Siku ya Jumamosi July 2, 2016 ndani ya ukumbi wa Lawndale Dr. Silver Spring, Maryland U.S