SALA YA IDD EL FITR MJINI BUKOBA LEO JULY 6
Waumini wa dini ya kiislam Mjini Bukoba wameungana na waislam wengine Duniani kusheherekea sikukuu ya Eid El Fitri ambapo Shehe wa Mkoa wa Kagera Haruna Kichwabuta amewaasa waumini hao kudumisha amani ,umoja na mshikamo kwa Taifa
Sala ya Idd iliyofanyika katika Msikiti wa Jamia mjini Bukoba ikiwa inaendela.
Waumini wakiendelea kushiriki Sala ya Idd El Fittr leo.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera , Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa hotuba ya Eid El Fitr, kwa waumini wa Dini ya Kiislam walioshiriki ibada hiyo, iliyoswaliwa kwenye Msikiti wa Jamia uliopo katikati ya mji wa Bukoba leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waumini wa dini ya kiislamu wakifatilia mawaidha yaliyokuwa yakiendelea kutolewa na sheikh Kichwabuta
Waumini wa kiislam wakiendelea kumsikiliza sheikh.
Baadhi ya wanawake wakiendelea kumsikiliza Sheikh Haruna
Kichwabuta wakati akitoa hotuba ya Eid El Fitr, kwa waumini wa Dini ya Kiislam
walioshiriki ibada hiyo, iliyoswaliwa kwenye Msikiti wa Jamia uliopo
katikati ya mji wa Bukoba
Taswira mbalimbali sehemu ya wanawake walioshiriki ibada hiyo, iliyoswaliwa kwenye Msikiti wa Jamia uliopo katikati ya mji wa leo Jumatano July 6,2016
Pichani Sehemu ya Waumini wa Dini ya Kiislam kutoka maeneo mbalimbali wakijumuka pamoja katika Swala ya Eid el Fitr, iliyoswaliwa kwenye msikiti wa Ijumaa mjini hapa leo

Sehemu ya wadau walioshiriki Ibada hiyo leo
Mdau Mkusin Kichwabuta pichani
Mzee Huledy na Mwalimu Adnan pichani
Muendelezo wa matukio ya sala ya Idd kupitia Bukobawadau Blog
Pichani anaonekana sheikh Idrisa
Uncle Khalid pichani katikati
Bwana Jamal Jamco Kalumuna na mwanae pichani wakiendelea kushiriki Ibada ya Idd leo July 6.
Wadau nje ya Msikiti wakipeana mkono wa Idd mara baada ya kumaliza swala ya Idd leo July 6.
Bi Mwanahawa na wanae pichani mara baada ya kumaliza swala ya Idd
Kijana Soma mara baada ya Sala ya Idd
Ndivyo wanavyo onekana pichani baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu mara baada ya kumaliza swala ya Idd iliyoswaliwa katika Msikiti wa Jamia mjini Bukoba leo July 6,
Timu nzima ya Bukobawadau na Bukoba Mpya Group inawatakia watu wote Sikukuu ya Eid el Fitri
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu mara baada ya kumaliza swala ya Idd