Bukobawadau

Windhoek Draught Ya Dhamini Miss Sinza 2016!

 "Warembo wa Miss Sinza 2016 watembelea ofisi za Mabibo Beer, wasambazaji na wauzaji halali wa Windhoek Lager na Windhoek Draught nchini Tanzania. Mashindano ya Miss Sinza yatafanyika tarehe 29/07/2016 kwenye hoteli ya De France, Sinza na kusindikizwa na FM Academia Band. Mabibo Beer wamedhamini tamasha hili kwakupitia bia yao ya Windhoek Draught."
Wanaonekana baadhi ya warembo hao mara baada ya kuwasili katika ofisi za Mabibo Beer
 Wakati wakiendelea kutembelea maeneo mbalimbali katika ofisi za Mabibo Beer.
 Muimbaji na kiongozi wa bendi ya FM Academia, Nyoshi El Sadat 'Sauti ya Simba'pichani katikati akiongea na wanahabari
 "Warembo wa Miss Sinza 2016 watembelea ofisi za Mabibo Beer, wasambazaji na wauzaji halali wa Windhoek Lager na Windhoek Draught nchini Tanzania. Mashindano ya Miss Sinza yatafanyika tarehe 29/07/2016 kwenye hoteli ya De France, Sinza na kusindikizwa na FM Academia Band. Mabibo Beer wamedhamini tamasha hili kwakupitia bia yao ya Windhoek Draught."
Next Post Previous Post
Bukobawadau