Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akiapa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mrisho Gambo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha. |
Viongozi mbalimbali katika Jiji la Arusha wakifatilia tukio hilo. |
Mwenyekiti wa CCM na Mbunge mstaafu wa Longido,Lekule Laizer(kushoto) akimskiliza Mjumbe wa mkutano Mkuu wa CCM wilaya ya Arusha DC,Mathias Manga. |
Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa. |
Picha ya pamoja na viongozi mbalimbali. |