RAIS DKT. MAGUFULI AANZA ZIARA YAKE MKOANI MWANZA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya kuwasili katika Wilaya ya
Sengerema Mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya
wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kuwasili akitokea Chato mkoani
Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
wanakwaya wa UWT Kisima cha maji Chumvi mara baada ya kuhutubia wakazi wa
Sengerema mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mwalimu Mstaafu wa Shule ya Sekondari Sengerema Wilson Fumbuka Mbanga ambaye
walifundisha naye shule hiyo tokea mwaka 1982-1985 mara baada ya kumaliza
mkutano wa hadhara Sengerema Mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na wakazi
wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kumaliza kuwahutubia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na wakazi
wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kumaliza kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Busisi wakati akielekea Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya
kivuko cha MV. Misungwi wakati akielekea mkoani Mwanza.
PICHA NA IKULU