HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MTAANI
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Sheikh Haruna Kichwabuta akibadilishana
mawazo na Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala
,Balozi Kamala alipita kumsalimia sheikh ofisini kwake #Bilele
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala ,pichani kushoto akiendelea kubadilishani mawazo na Sheikh Haruna Kichwabuta.
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala ,pichani kushoto akiendelea kubadilishani mawazo na Sheikh Haruna Kichwabuta.