Bukobawadau

HOSPITALI YA KAIRUKI YATOA MSAADA WA MADAWA KWA WAHANGA WA TETEMEKO MKOANI KAGERA

Katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea Septemba, 10 mkoani Kagera,Hubert Kairuki Memorial University Hospital Imetoa mchango mdogo wa madawa kwaajili ya Wahanga wa tetemeko la ardhi.
 Dr Muganyizi Kairuki Naibu Mkurugenzi wa hospitali ya Hubert Kairuki Memorial University kabla ya kukabidhi msaada wa mdawa kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu.
Pichani kushoto anaonekana Dr Muganyizi Kairuki Naibu Mkurugenzi wa hospitalI hiyo wakati akikabidhi Masada huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu
#Bukobawadau#TetemekoBukoba
Next Post Previous Post
Bukobawadau