HOSPITALI YA KAIRUKI YATOA MSAADA WA MADAWA KWA WAATHIRIKA WA TETEMEKO MKOANI KAGERA
Katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea Septemba, 10 mkoani Kagera,Hubert Kairuki Memorial University Hospital Imetoa mchango mdogo wa madawa kwaajili ya Waathirika wa tetemeko la ardhi.
Dr Muganyizi Kairuki Naibu Mkurugenzi wa hospitali ya Hubert Kairuki Memorial University kabla ya kukabidhi msaada wa mdawa kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu.
Pichani kushoto anaonekana Dr Muganyizi Kairuki Naibu Mkurugenzi wa hospitali hiyo wakati akikabidhi Masada huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu
#Bukobawadau#TetemekoBukoba