HUKO MISSENYI BALOZI KAMALA ATEMBELEA KIJIJI RUGAZI MINZIRO KUKAGUA MADHARA YA TETEMEKO LA ARDHI
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa
miwani) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kijiji cha Kigazi - akimweleza zaidi
ya nyumba 200 zilizoanguka baada ya kutokea tetemeko la ardhi. Pichani
ni nyumba ya Mzee John Paulo iliyoanguka baada ya kutokea tetemeko la
ardhi. Zaidi ya kaya 300 hazina makazi