Bukobawadau

MUONEKANO WA NJE NA NDANI YA SOKO KUU MJINI BUKOBA

 Ndani ya Soko kuu Mjini Bukoba,hekaheka za ununuzi wa bidhaa mbalimbali zikiendelea,kilio cha wananchi ni kuona mradi wa ujenzi wa soko kuu la Bukoba unatekelezwa.
 Muonekano wa Maduka nje ya Soko Kuu
 Mtaa maarufu wa biashara, maduka yaliyozunguka Soko kuu Manispaa Bukoba
Muonekano wa Mabanda mbalimbali ndani ya Soko kuu
 Eneo la wauzaji wa nafaka aina mbalimbali.
Eneo la kuuzia ndizi katika Soko kuu la Manispaa Bukoba
Kwa habari na maendeleo ya miradi mbalimbali ya kimaendeleo jiunge nasi kupitia Mradi wa Tushirikishane ulio anzishwa na mtandao wa (JamiiForums )na kusainiwa na Viongozi wa Manispaa pamoja na Mbunge ,Vipaumbele ikiwa ni Ujenzi wa soko kuu la Bukoba, soko la Kashai na Stendi kuu ya mabasi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau