AJALI YA MOTO YAUNGUZA MADUKA BUKOBA
Mjini
Bukoba Maduka mawili yaliyopo katikati ya MAKUTANO ya mtaa na Zamzam na
Arusha Jirani na Soko kuu yashika moto na mengine yaliyopo jirani
kuathirika na moto huo ingawa juhudi za wenye maduka za kuokoa mali
zimefanikiwa kuepusha hasara zaidi
Bwana Emiry Baruti mmiliki wa Jengo lililopata moto.
Wananchi wakikimbizana na ndoo za maji kusaidia kuuzima moto huo
Gari la zima moto likiwa limefika eneo la tukio baada ya muda
Mpaka tunaingia mitamboni Chanzo cha moto huo hakijajulikana
Kijana Evody akijaribu kuokoa mali kutoka katika Duka lake lililopo katika Jengo lililoshika moto
Mali zikiendelea kuteketea kwa moto
Mali zilizo okolewa katika Duka la Kijana Evody Dogo Ditto
Moto ukiendelea kuchukua kasi katika chumba cha Duka la biashara
Jitihada za zima moto
Jitihada za kuzima moto huo kwa kutumia ndoo za maji
Tukio
hilo limetokea usiku wa leo Oct 27 majira ya saa 2:00 na kupelekea Askari wa
Kikosi cha Zimamoto,kunusurika kichapo kutoka kwa baadhi ya wananchi
baada ya kuchelewa kufika eneo la tukio.