HIJA KWA BIKIRA MARIA NYAKIJOGA:Lurdi ya Bukoba yafanyika Leo Oct 2,2016
Waumini wa dhehebu la kanisa katoliki leo wameungana pamoja kwenye ibada
ya hija ya Bikira Maria iliyofanyika kwenye eneo la Nyakijoga lililoko
katika kata ya Mugana iliyoko wilayani Misenyi kuwaombea watu 17
waliopoteza maisha kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani
Kagera na waliathirika na tetemeko hilo lilisababisha maafa makubwa
ambayo ni pamoja na uharibifu wa nyumba za makazi na majengo ya taasisi
za serikali.
Askofu Kilaini: "Tetemeko la ardhi ni kengere ya Mungu ya kutuamsha (kutuzindua) tuijenge upya Kagera."
Viongozi mbalimbali wa Kichama na Serikali wamewdha kushiriki Ibada hiyo
Baadhi wa Waumini wa Kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya Hija ya Nyakigoja iliyofanyika leo Jumapili Sep 2,2016
Kituo hiki cha Hija kilianzishwa kwa madhumuni ya kushiriki kiroho katika maadhimisho ya Jubilei ya miaka 100 tangu tamko rasmi la Kanisa la mwaka 1854, kuwa ni nguzo ya imani kwamba Bikira Maria aliumbwa bila dhambi ya asili.
Vilevile, mwaka 1958 kuliadhimishwa Jubilei ya miaka 100 tangu Bikira Maria mwenyewe alipomtokea msichana Bernadeta Subiru huko Lurdi Ufaransa mwaka 1858 na kujitambulisha kuwa yeye ndiye “aliyeumbwa bila dhambi ya asili”
Wakati Ibada hiyo ikiendelea
Taswira mbalimbali kutoka eneo la Hija Nyakijoga Mugana
#Bukobawadau