Bukobawadau

MAMIA WAMZIKA PROCHES RWABIGENE OCT 27,

Mamia ya Wakatoliki na wasio Katoliki wa Jimbo Kuu la Bukoba, Siku ya Jana Oct 27 waliungana Kutoa heshima za mwisho na kumzika Marehemu Proches Rwabigene Mandela.
Shughuli ya Ibada ya Maziko hayo ilifanyika nyumbani kwao Kijijini Kahororo, Manispaa Bukoba
 Muonekano wa Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Proches Rwabigene Mandela.
 Mjane wa Marehemu Proches Rwabigene Mandela.
 Baadhi ya Wanafamilia ya Marehemu Proches Rwabigene Mandela
 Padri akiendelea kutoa Somo katika Ibada ya Mazishi ya Marehu Proches Rwabigene Mandela.
Ni simanzi kubwa na huzini kwa waombolezaiji wote waloiomfahamu Marehemu Proches Mandela
Muendelezo wa matukio wapicha wakati Ibada ikiendelea...
Mjane wa Marehemu akiwa na mmoja wa wanae pembeni,Marehemu ameacha Mjane na watoto watatu
 Mwalimu Byalenga mmoja kati ya waombolezaji walioshiri Ibada ya Maziko ya Marehu Proches Rwabigene Mandela.
 Kushoto ni Ramadhan Kambuga na Kulia kwake ni Bw. Jumanne Bingwa.
 Kaka wa Marehemu Proches Rwabigene Mandela akitoa neno la Shukrani kwa niaba ya familia
 Wakati wa Wasifu wa Marehemu Proches Rwabigene Mandela ukisomwa na Kaka yake pichani
Ishengoma Rwabigene ambaye ni Kaka wa Marehemu Proches Rwabigene Mandela akitambulisha familia ya Marehemu mara baada ya kusoma wasifu wake.
Machozi ya huzuni yakiendelea kuwatoka waombolezaji
 Machozi na Vilio vikitawala wakati ikisomwa wasifu wa Marehemu
 Bwana Masty al maarufu Mchungaji akiwa katika huzini mkubwa kufuatia kifo hiki cha Mdogo wake
Sehemu ya waombolezaji wakiendelea kshiriki Ibada ya maziko.
 Kaka Philbart na  Mkubwa Benny Bazar wakiteta Jambo.
Kijana mtu wa watu Ramadhani Issa akiwa amejaliwa kshiriki Shhghuli ya Mazishi ya rafiki yetu mpendwa wetu
Mapadre walioongoza Ibada ya Maziko hayo iliyofanyika Kahororo nje kidogo ya Manispaa ya Bukoba
Jeneza likifunikwa mara baada ya utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kukamilika.
Wadau kutoka maeneo mbalimbali wakiwa katika Ibada ya maziko hayo.
 Wakati Jeneza lenye mwili wa Marehemu Proches Rwabigine likielekea eneo la kaburi
 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Proches Rwabigene likiingizwa kaburini.
 Kaka wa marehemu akiweka Udongo kaburini
 Shughuli ya maziko ikiwa inaendelea
 Padre akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Proches (Mandela) Rwabigene
 Padre mara baada ya kuweka Shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Proches (Mandela) Rwabigene
 Eneo la Kaburi, Shughli ya maziko ikiwa inaendelea
 Salaam za rambirambi kutoka kwa Mh. Meya Chief Kalumuna
 Muendelezo wa matukio eneo la msibani
 Bwana Magella Nshubuga pichani
Kupitia Bukobawadau hivi ndivyo Mamia ya Wakatoliki na wasio Katoliki wa Jimbo Kuu la Bukoba, walivyoweza kuungana na wanafamilia ya Rwabigene Kutoa heshima za mwisho na kumzika Marehemu Proches Rwabigene Mandela. Shughuli ya Ibada ya Maziko hayo ilifanyika nyumbani kwao Kijijini Kahororo, Manispaa Bukoba
Mdau Sunday na Bwana Abdul Hamis.
Pichani zinaonekana Sura za Malegendary wakiwa wamejitokeza kuweza kumuaga rafiki yao Marehemu Proches Rwabigene (Mandela)
Next Post Previous Post
Bukobawadau