Bukobawadau

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAMZIKA ROYCE DANIEL KATARAIA KIJIJINI GERA OCT 17,2016

Shughuli ya Ibada ya Maziko ya Bi Loyce Kataraia iliyofanyika siku ya Jumatatu mchana Oct 17 Kijijini Nyatai Gera, Kifo cha Marehemu Loyce Kataraia kilitoka Juma lililopita tarehe 13/10/16 kwa ajali ya gari iliotokea maeneo Nanga-Igunga.
 Pichani kushoto ni Mtoto Mkubwa wa Kuzaliwa na Marehemu  Royce Daniel Kataraia.
 Umati mkubwa wa Waomboleza wakiendelea kushiriki Ibada ya Marehemu Royce Daniel Kataraia
 Pichani  kushoto anaonekana Omtwale Bocko akiwa ameungana na waombolezaji wengine kumuaga Loyce Kataraia kufuatia kifo chake kilichotokea tarehe 13/10/16 kwa ajali ya gari maeneo Nanga-Igunga.
Matukio ya picha wakati Ibada iliyo ongoza na Mchungaji  ikiendelea
 Sehemu ya Wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada hiyo.

Wanaonekana Sehemu ya wanafamilia waliofikwa na msiba huu.
 Sehemu ya waombolezaji pichani kushoto ni Adv. Buberwa rafiki wa karibu wa familia ya Marehemu.
 Vilio vya Machozi wakati likitajwa jina na Mwanafamilia aliyenusurika katika Ajali hiyo
 Poleni sana wafiwa, pole sana Bwana Aron Baruti.

 Mzee anashindwa kabisa kutoa neno la shukrani kwa niaba ya familia ya Marehemu
Bw. Hamood Migeyo na BW. Rouben Sunday wakiendelea kushiriki Ibada ya maziko hayo

 Muongozaji wa Shughuli hii ni Bwana Newton Kataraia.
Wasifu wa Marehemu ukisomwa.
Simanzi kubwa na Vilio kwa wanafamilia.

 Bi Pene Kiiza Mwakilishi wa wanachama marafiki wa Marehemu kutoka Jijini Dar
Bi Pene Kiiza akiendelea kutoa salaam za rambirambi
Machozi wakimtoka Ndugu Aron Baruti wa kutoa heshima za mwisho kuuaga Mwili wa Marehemu
 Waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho kumuaga Mpendwa wao



 Bwana Rutta akishiriki zoezi la kutoa heshima zake za mwisho
Zoezi la kutoa heshima za Mwisho kumuaga mpendwa wetu Loyce Kataraia likiendelea.
 Mara baada ya Ibada , Mwili wa Marehemu ukielekea eneo la kaburi
 Mkono wa rambirambi kutoka kwa wadau mbalimbali.




Diwani wa Bugandika Bw. Hamody Migeyo na Diwani wa Kata Gera Bw.Bitegeko wakiweka shada la maua.
 Pichani katikati ni Mme wa Marehemu Royce Daniel Kataraia
 TUNAMUOMBA MUNGU AIPOKEE ROHO YAKE NA AIPUMZISHE KWA AMANI!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau