Bukobawadau

Naibu Waziri Anastazia Wambura Akutana na Wawekezaji wa China

Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura akiongea na wawekezaji wa Makampuni matatu kutoka China leo 10/10/2016 Jijini Dar es Salaam.
Bukobawadau
 Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wawekezaji pamoja baadhi ya Viongozi na watendaji wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo leo 10/10/2016 Jijini Dar es Salaam.
PICHA NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM.
Next Post Previous Post