RC KAGERA AELEZA JITIHADA ZA SERIKALI KATIKA KUREJESHA HALI BAADA YA TETEMEKO
Taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kuhusu hatua iliyofikiwa katika kurudisha hali baada ya tetemeko
"Serikali inaendelea kuchukua hatua katika kurejesha hali baada ya tetemeko"RC KAGERA
"Serikali imepokea misaada ya mahitaji mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya TZs Bil.1,094,478,950/="MEJA JENERALI(MST)KIJUU.