Bukobawadau

CAMERA YETU PANDE ZA KAHORORO LEO NOV 4,

 BUKOBA yetu leo, Muonekana ya Vijiji vilivyopo chini ya ardhi maeneo ya Kahororo ndani ya Manispaa ya Bukoba ,Mashamba na nyumba kandokando ya ziwa Victoria vikiwa vinaleta mandhari nzuri na yakipekee.
  Ni Bukobawadau Media pekeekwa matukio mbalimbali na taswira safi ya mazingira yenye ukijani /rangi nzuri yenye kupendeza  na mandhari yenye ufahari mkubwa Kahororo Bukoba yetu leo
Hakika ni mandhari nzuri ya utalii Bukoba Kahororo
 Barabara ya Mafumbo Kahoro ikiwa na lami ni kazi nzuri ya Manispaa ya Mji wa Bukoba
Taswira barabara ya Mafumbo Kahororo Mjini Bukoba leo Nov 4,2016.
 Camera yetu uso kwa uso na wadau wakiwa wamechil masikani kwa Mdau Anthon (Tonny)
 Tunavutiwa pia na hiyo fensi upande wa kushoto ikiambatana na garden yake kama anavyo onekana Mdau Anthon (Tonny) akifurahi mandhari ya kupendeza ya mazingira ya Nyumba yake na hali ya hewa nzuri kutoka Usawa wa Ziwa Victoria!
 Muonekano wa Mbele wa Nyumba ya Kijana (Tonny) ni Mjengo uliokamilika nje na ndani yaani fully equiped hakika 'Ebintu bilige mno'!!
Pichani kshoto ni Bwana Willy Balema kama alivyokutwa masikani kwa swahiba yake Tonny maeneo ya Kahororo Bukoba
 Taswira mbalimbali mandhari ya Mji wa Bukoba maeneo ya Nyamkazi na Maeneo ya Nyanshenyi
 Mdau Mdau Anthon (Tonny) Anthon (Tonny) akifurahi mandhari ya kupendeza ya mazingira ya Nyumba yake na hali ya hewa nzuri kutoka Usawa wa Ziwa Victoria
 Muonekano huu ni wakati Mdau Tonny akiangaza kazi iliyofanyika masikani kwake ,Tunachoweza kusema ni kwamba "Finishing nzuri ndio pambo la nyumba yako"Hongera Sana Mpambanaji Tonny.


Next Post Previous Post
Bukobawadau