BUKOBA HAFLA YA KUWAPONGEZA WAHITIMU WA SHAHADA KATIKA CHUO CHA (CARUMUCO)
Matukio katika Hafla ya kuwapongeza Bw.Joseph Josephat na Bw Abel Mwomboki pamoja na Innocent Marchades kwa kutunukiwa Shahada ya Umahili na Shahada ya Uzamivu katika fani mbalimbali nchini na Bw Audax Joseph aliyehitimu shahada ya kwanza ya Ualimu katika chuo cha (CARUMUCO) Tawi la SAUTI Bukoba.
Sehemu ya Wageni walioshiriki hafla hii fupi ya kuwapongeza wahitimu wa Shahada mbalimbali
Bw.Joseph Josephat mhitimu wa Shahada ya umahili (Master Degeree)
Bwana Audax Joseph pichani muhitimu wa Shahada ya kwanza ya Ualimu
Hafla ikiendelea kama wanavyo onekana baadhi ya Waalikwa ukumbini
Baadhi ya Waalikwa waliohudhuria Hafla hiyo imefanyika Mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Transit Hotel the Walkgard
Meza ya waalikwa katika Hafla ya kuwapongeza Bw.Joseph Josephat na Bw Abel Mwomboki pamoja na Innocent Marchades kwa kutunukiwa Shahada ya Umahili na Shahada ya Uzamivu katika fani mbalimbali nchini na Bw Audax Joseph aliyehitimu shahada ya kwanza ya Ualimu katika chuo cha (CARUMUCO) Tawi la SAUTI Bukoba.
Muendelezo wa matukio Ukumbini katika hafla ya kuwapongezi baadhi ya wahitimu wa Shahada mbalimbali
Waalikwa ukumbini wakibadilishana mawazo
Taswira wakati hafla hiyo ikiendelea .
Akiwa tayari kumlisha keki mwenyekiti wa Sherehe hii
Raha ya Keki jamani...
Watoto wa Mmoja wa wahitimu pichani wakiwa tayari kwa ajili ya kulishwa Keki
Makeke ya Eng. Kijigo pichani kulia ni popote pale na kwa muda wowote
Zoezi la kupata keki likiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali ya waalikwa
Mwanadada Laty akichukua kipande cha Keki kwa ajili ya kumlisha mmoja wa wahitimu wetu
Waalikwa wakifuatilia kila kinachojiri Ukumbini.
Kaka ilivyokuwa kwa Bwana Jose nae anachuku jukumu la kumlisha Keki Bi Laty pichani kulia.
Muendelezo wa matukio ya Keki ukumbini
Mkono wa pongezi ukitolewaa kwa wahitimu wote
Mc Jerry, mshereheshaji mahiri katika Ukanda huu akiendelea kuwajibaM
Mtiririko wa matukio yaliyojiri katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Transit Hotel the Walkgard
Muda kwa waalikwa wote kupata huduma ya Msosi safi uliandaliwa na wataalamu wenye Ubunifu katika mapishi chini ya Transit Hotel the Walkgard
Wakati wa zoezi la kupata msosi
Huduma ya Msosi ikiendelea
Ukiitaji vyakula vilivyo andaliwa kwa ubora wa hali Usisite kufika Transit Hotel the Walkgard Bukoba.
Anaitwa Mc Jerry akipata mulo pembeni ya Mwanadada Laty.
Bi Laity na Eng. Kijigo ni sehemu ya waalikwa katika hafla hiyo
Matukio mbalimbali katika katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki ya kuwapongeza Bw.Joseph Josephat na Bw Abel Mwomboki pamoja na Innocent Marchades kwa kutunukiwa Shahada ya Umahili na Shahada ya Uzamivu katika fani mbalimbali nchini na Bw Audax Joseph aliyehitimu shahada ya kwanza ya Ualimu katika chuo cha (CARUMUCO) Tawi la SAUTI Bukoba.
Neno la pongezi kwa wahitimu wetu
Neno la pongezi kutoka kwa Afisa Elimu
Mc Jerry akiendelea kuwajibika
Mlezi wa Wanachuo wa Chuo kikuu cha (CARUMUCO) Tawi la SAUTI Bukoba akitoa pongezi kwa wahitimu.
Mzee Cathbert Basibila akitoa neno la pongezi kwa wahitimu wote
Fursa kwa kila mwenye zawadi kukabidhi kwa mlengwa
Mtoto akimkabidhi mzazi wake zawadi ya Shati
Baadhi ya zawadi zilizotolewa kwa Bwana
Taswira safi Mazingira ya hotel yetu pendwa
Shangwe za hapa na pale zikiendelea
Matukio katika Hafla ya kuwapongeza Bw.Joseph Josephat na Bw Abel Mwomboki pamoja na Innocent Marchades kwa kutunukiwa Shahada ya Umahili na Shahada ya Uzamivu katika fani mbalimbali nchini na Bw Audax Joseph aliyehitimu shahada ya kwanza ya Ualimu katika chuo cha (CARUMUCO) Tawi la SAUTI Bukoba
Burudani ya musiki ikiendelea kuchukua kasi
Ni mwendo wa burudani kwa waalikwa wote Ukumbini
Mama Matungwa akihungana na waalikwa wengine katika kuserebuka