Bukobawadau

KUTOKA KIBETA BUKOBA SHUGHULI YA MISA TAKATIFU KUMBUKUMBU YA MIAKA 9 KIFO CHA MA AULERIA KOBULUNGO MUGANDA (1918-2007)

 Misa ya kumbukumbu ya Miaka 9 tangu kufariki kwa Marehemu Ma Auleria Kobulungo Muganda (1918-2007)iliyofanyika Jana Jumatano Nov 16 Nyumbani kwa Mjukuu wake Josephat Joakhim Matungwa wa Kibeta Manispaa Bakoba
 Baadhi ya waumini wa Kikatoliki wakiendelea kushiriki Misa ya Kumbukumbu ya Marehemu Ma Auleria Kobulungo Muganda iliyofanyika Jana Jumatano Nov 16,2016.
 Wana Bakoba kutoka maeneo tofauti wakiwa wameungana katika kushiriki Ibada hiyo Maalum ya kumbukumbu ya Miaka 9 Kifo cha Mama yetu, Bobi yetu Mpendwa Ma Auleria Kobulungo Muganda
 Wakati Misa hiyo ikiendelea kwa Siku ya Jana Nov 16,2016,
 Misa hiyo iliyofanyika kibeta Bukoba ikiongozwa na Fr. Rwanzo pichani
 Sehemu ya wanakwaya wakiongoza nyimbo za mapambio katika shughuli ya Misa takatifu kwa ajili ya shukrani kumbukumbu ya miaka 9 kifo cha Ma Auleria Kobulungo Muganda
  Taswira katika shughuli ya Misa takatifu kwa ajili ya shukrani kumbukumbu ya miaka 9 kifo cha Ma Auleria Kobulungo Muganda
Shughuli ya Misa takatifu kwa ajili ya shukrani kumbukumbu ya miaka 9 kifo cha Ma Auleria Kobulungo Muganda iliyofanyika Kibeta Bukoba Siku ya Jana Nov 16,2016 ikiendelea
 Baadhi ya Waumini wakiungana na WanaUkoo wa Bakoba katika katika shughuli ya Misa takatifu kwa ajili ya shukrani kumbukumbu ya miaka 9 kifo cha Ma Auleria Kobulungo Muganda
 Wadau pichani wakiendelea kushiriki Ibada hiyo
Dada Devotha Kimenye  na Dickson Anatory baadhi ya wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada
 Padre  Rwezo akiongoza shughuli ya Misa takatifu kwa ajili ya shukrani kumbukumbu ya miaka 9 kifo cha Ma Auleria Kobulungo Muganda iliyofanyika Jana Jumatano Nov 16,2016
 Zoezi la kutoa Sadaka.
 Waumini wakiendelea na utaratibu wa kutoa Sadaka zao
 Wanafamilia na waalikwa wakiendelea kutoa Sadaka kwa ajili ya Misa ya kumuombea Marehemu Bibi yetu Moendwa  Ma Auleria Kobulungo Muganda
 Matukio mbalimbali katika picha katika Shughuli hii ya kumuombea Mpendwa wetu Ma Aurelia

  Sasa ni wakati wa waumini kupokea
 Baadhi ya waumini wa Kikatoliki wakiendelea na zoezi la kupokea , Zoezi hili likiongozwa na Padre Rwanzo
 Wanakwaya  wakiendelea na kuimba nyimbo za kumsifu Bwana.
 Baadhi ya wanafamilia wakiendelea na Ibada hiyo
 Shughuli ya misa takatifu Maalum kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 9 tangu afariki dunia  Mpendwa wetu Ma Auleria Kobulungo Muganda, Mama mzazi wa Fr James Lugemalira.
 Mwenyekiti wa Kigango cha Kibeta akitoa neno
 Bwana Ponsian Kaiza ambaye ni mwana Ukoo
Bwana Dickson Anatory akitoa Utambulisho kwa wanafamilia
 Muendelezo wa matukio katika Shughuli ya misa takatifu iliyoandaliwa na Familia ya Fr. James Rugemalira.
 Pichani kushoto ni Mzee Jovith Masaani na Mzee Haruna Alimasi wa Castam Bukoba.
 Mwakilishi wa Ukoo wa (Bashasha) Mzee Gaspal  Bilondo wakati wa Utambulisho.
 Mzee Jovith Masaani akipunga mkono wakati wa Utamblisho
 Kutoka kushoto  pichani ni Mzee Jovith Masaani, Mzee Haruna Alimasi, Mzee Gaspal  Bilondo ambaye ni Mwakilishi wa Ukoo wa (Bashasha) na kulia kabisi ni Mwakilishi wa Bakoba Mzee Selestin Kabalemesa
Mdau akitoa utaratibu kulingana na ratibu
 Wanafamilia wakiendelea na Utaratibu wa kuweka mashada ya maua katika makaburi yaliyopo nyumbani hapo.
 Mwanafamilia akiweka Mshumaa kwenye kaburi
 Utaratibu wa kuweka Mashada ya maua ukiendelea
 Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea.
Dada Devotha Kimenye akishirikiana na Mdogo wake kuweka shada la maua katika moja ya Kaburi
Mwenyeji wa Shughuli hii Bwana Josephat Joakhim Matungwa kulia akimwelekeza Padre wapi pa kuweka Shada la maua
 Bwana Rackson Kasabila wa Kibeta Bukoba akiweka shada la maua.
Kwa habari na matukio ya papo hapo jiunge na ukurasa wetu wa Facebook kupitia link hii >>  Bukobawadau Entertainment Media
 Haya ndiyo yaliyojiri Nyumbani kwa Bwana Josephat Joakhim Matungwa Kibeta Bukoba Nov 16,2016
 Taswira eneo la tukio Kwa matukio katika shughuli ya Misa  takatifu ya shukrani Kumbukumbu ya Miaka 9 Kifo cha Ma Auleria Kobulungo Muganda.
 Muonekano wa Menu husika katika shughuli hii iliyofanyika Jana Nov 1,201
 Baadhi ya Waalikwa wakiendelea kupata huduma ya Msosi iliofatiwa na kinywaji Windhoek ambacho ni chaguo la wengi especial Nshomile
 Wadau mbalimbali wakiendelea kupata huduma safi ya Chakula
Kwa habari na matukio ya papo hapo jiunge na ukurasa wetu wa Facebook kupitia link hii >>  Bukobawadau Entertainment Media 
Next Post Previous Post
Bukobawadau