WATANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KUSHEREHKEA UHURU WA TANZANIA BARA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.Jenista Mhagama akiongea na Mkurugenzi wa Idara ya Maadhimisho na Sherehe za kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Flora Mazelengwa wakati akikagua maandalizi ya maandhimisho ya miaka 55 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Desemba, 2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.Jenista Mhagama akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Jackson Lyaniva wakati akikagua maandalizi ya maandhimisho ya miaka 55 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Desemba, 2016 (katikati) ni Mkurugenzi wa Idara ya Maadhimisho na Sherehe za kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Flora Mazelengwa
Bw. Hamad Hashim akiendelea na maanadlizi ya kusafisha zuria wakati wa maandalizi ya maandhimisho ya miaka 55 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Desemba, 2016.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
AnwaniyaSimu: WAZIRIMKUU”
DARES SALAAM.
SimuNambari
2117249/51
UnapojibuTafadhalitaja
|
2 MtaawaMagogoni,
S. L.
P. 3021,
11410 DAR ES SALAAM.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
WATANZANIA
WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KUSHEREHKEA UHURU WA TANZANIA BARA
WaziriwaNchiOfisiyaWaziriMkuu(Sera,Bunge,Ajirana Watuwenyeulemavu),Mhe.JenistaMhagama,
amewatakawananchiwotekushirikiananakusherehekeauhuruwa
TanzaniabarakwakuungajuhudizaserikaliyaawamuyaTanoyakupingaufisadi na
rushwanchini.
“Kwaniabayaserikalinatoawitokwawananchiwotenchinikusherehekeasikuhiikwakuwakumbukawaasisiwetuwaliotetea
nakutuleteaUhuruwanchiyetu.AidhaniwaombewananchiwotekuungamkonojuhudizaRaiswetuMheshimiwaDkt.
John Pombe Joseph Magufuli katikakuimarisha
uchumiwaviwandakwamaendeleoyanchiyetu”amesemaMhagama.
Kaulimbiuyasherehezakutimiza Miaka55 yauhuruni“TuungeMkonoJitihadazaKupingaRushwa
na Ufisadi na TuimarisheUchumiwaViwandakwamaendeleoyetu”
MgeniRasmikatikaMaadhimishohayoatakuwaMhe.
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania.
Imetolewana,
Kitengo cha
Mawasilianoserikalini
OfisiyaWaziriMkuu
TAREHE
08, DESEMBA, 2016.