UCHAGUZI WA MARUDIO, ACT WAZALENDO NA UMOJA WA WAPINZANI: HOJA ZA JULIUS MTATIRO NA PROF. KITILA MKUMBO
"Good News kwa ACT Wazalendo kwamba huenda ndicho chama
kilichofanikiwa kwenye uchaguzi huu kuliko vyama vyote (CCM inclusive)
kwani pamoja na uchanga wake kimevishinda baadhi ya vyama vikongwe
kwenye kata chache (kwa idadi ya kura na si ushindi wa jumla). Na hiyo
ni alert call kwamba ACT is needed in the UKAWA basket na kwa hiyo ianze
ku BEHAVE like a true party wakati UKAWA pia ikiiandalia mazingira kisaikolojia"-Julius Mtatiro
..............................
..............................
"Shukrani kwa uchambuzi mzuri, as always. Hatua ya kwanza katika
kushirikiana ni kuheshimiana na kukubali kwamba kutofautiana mawazo na
mikakati ya kisiasa ni jambo jema badala ya kupeana majina. Binafsi
nilishangaa sana kuona kuna kata kulikuwa na wagombea wa CDM na NCCR.
Nilielewa kwa CUF kwa kuwa zipo mbili. Sasa kama UKAWA ni CUF, CDM, NCCR
na NLD. Kisiasa NLD haipo, ipo kisheria tu. CUF ndio hiyo. Kwa hiyo
politically speaking UKAWA ya sasa ni CDM na NCCR. Ukitaka kuwa serious
zaidi utaona kwamba NCCR inapoelekea ni kubaki kuwa chama
kilichosajiliwa tu kisichokuwepo katika ulingo wa kisiasa. Ni kwa sababu
hii Ndugu Kafulila alihamia CDM. Vinginevyo Kafulila alikuwa hana haja
ya kuhama. Kwa hiyo, technically and politically speaking, UKAWA ya sasa
ni CDM.
Even more technically and politically speaking UKAWA ya sasa ni jina! Hapa ndipo pakuanzia. Tunahitaji kujiunda upya kama tunataka ushirika. Hatua ya kwanza kabisa katika kushirikiana ni kuheshimiana. Kubezana hakuwezi kuzaa ushirikiano na hii imetugharimu miongo yote tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kila mara chama chenye nguvu zaidi huvidharau vyama vingine na kuvipa majina mabaya. Mbaya. Tujisahihishe. Otherwise, tunakushukuru comrade Julius S. Mtatiro kwa kutambua kazi tunayofanya kisiasa. Tunaendelea. Sie uchaguzi huu umetupa nguvu zaidi kwenda kwa wananchi. Huko ndiko heshima ya kisiasa iliko. Tukitoka huko tutakutana mezani na kila chama kuweka hesabu zake"-Prof. Kitila Mkumbo