BALOZI KAMALA AHUDHURIA KAMATI TENDAJI YA KIBUNGE KUHUSI SHIRIKISHO LA BIASHARA DUNIANI (WTO)- BRUSSEL
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akishiriki kikao cha 38 Kamati Tendaji Kuhusu Shirikisho la Biashara Duniani. Kikao hicho kimefanyika Brussels - Ubeligiji kufanya tathimini ya mwenendo wa biashara na uwekezaji Duniani. Bunge la Tanzania limeteuliwa hivi majuzi kuungana na nchi 21 zinazounda Kamati Tendaji ya Kibunge Kuhusu Shirikisho la Biashara Duniani.