Bukobawadau

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE

Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Vijana na Watu wenye Ulemavu) washiriki sherehe za maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yenye kauli mbiu isemayo Tanzania ya Viwanda: wanawake ni Msingi wa mabadiliko kiuchumi
Maadhimisho hayo yamefanyika tarehe 8 Machi, 2017 katika Viwanja vya Mwembe yanga katika Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.
Next Post Previous Post
Bukobawadau