RAIS JPM AKUTANA NA DK SHEIN IKULU CHAMWINO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali
Mohamed Shein walipokutana kwa mazungumzo Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma
leo Jumatatu Machi 13, 2017.

Picha na IKULU