ATHARI YA MAZINGIRA BAADA YA MVUA YA MAFURIKO BUKOBA
Athari ya mazingira kandokando mwa ziwa Victoria kutokana na mvua kubwa zilizonyesha maeneo mbalimbali mkoani Kagera siku ya jumapili April 9,2017 na kusababisha madhara katika baadhi ya maeneo
Mvua hizo zimesababisha madhara makubwa ikwemo uharibifu wa miundombinu,(Soil erosion) ,Uharibifu wa mazao pamoja na mali mbalimbali za wananchi.
Hapa ni Spice Beach Motel,Bukoba
Soil erosion
Soil erosion pembezoni mwa ziwa victoria Bukoba