MABIBI NA MABWANA SKY MOTEL WAME TUALIKA MSIMU HUU WA PASAKA KUPATA HUDUMA BORA ZA MALAZI CHAKULA NA VINYWAJI.
Katika kipindi hiki cha sikukuu SKY MOTEL wamewaandalia ofa kabambe katika huduma zote zinazopatikana sky motel.
Karibu Sky Motel utapokelewa vizuri na kuhudumiwa na wahudumu wetu vizuri
Muonekano wa vyumba ndani ya sky Motel
Ukifika sky motel utapata chakula bora na kilicho andaliwa na wapishi wa kimataifa
Buffet
Mazingira mazuri na muonekano wa kuvutia katika viunga vya sky motel
"SKY MOTEL HOME FAR AWAY HOME"