Bukobawadau

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA ALISTIDES MUHAZI - KIJIJINI BUGANGUZI

Hivi ndivyo mamia ya wananchi, wakiongoza na Viongozi wa ngazi mbalimbali walijitokeza kuungana na familia ya Marehemu Mzee Muhazi ,kuuaga mwili wa ndugu yao mpenda Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi,shughuli ya mazishi hayo imefanyika siku ya Jumatatu April 3,2017 nyumbani kwao Kijijini Buganguzi Muleba.
Akiwa mwenye husuni mkubwa ,machozi yakimtoka pichani katikati ni Mjane wa Marehemu Bi Caroline na kulia kwake ni mtoto Nardin Karungi Alistides ambaye nduye mtoto pekee wa Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi
 Padre wa Parokia ya Rukindo akiongoza Ibada ya mazishi ya Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi iliyofanyika siku ya Jumatano April 3,3016 na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji
 Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi
Wanakwaya wa Parokia ya Rukindo Buganguzi wakiimba nyimbo  kumsifu bwana wakati wa Ibada maalum ya mazishi ya mpendwa wetu Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi
 Mama mzazi wa Marehemu akishiriki Ibada maalum ya kumuaga mwanae mpendwa.
 Baadhi ya ndugu wa Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi.
 Wanafamilia na wombolezaji kwa jumla wao wakiendelea kushiriki Ibada maalum ya kumuaga rafiki yetu, Kaka yetu mpendwa wetu Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi
 Pichani kushoto anaonekana Mama Mulima akifatiwa na Mama Nace (Mrs Deo Deka)
 Mama Reonida Muhazi mama mdogo wa Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi akishiriki Ibada hiyo iliyofanyika nyumbani kwao Kijijini Buganguzi Muleba.
Katika hali ya simanzi wanaonekana  Wadogo wa Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi wakati Ibada ikiendelea
 Sehemu ya wadau waliohudhuria msiba huo mkubwa,kijijini Buganguzi Muleba
 Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi yaliyofanyika siku ya juzi jumatatu April 3,2017 Kijijini Buganguzi Muleba.
Kushoto ni Dada wa Marehemu Alistides Muhazi, na kulia wake ni mwakilishi wa Bwana Joseph Kusaga rafiki wa marehemu
Taswira wakati Padre akiendelea kuongoza Ibada hiyo


 Mamia kwa mamia ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali wakiendelea kushiriki mazishi hayo
 Sehemu ya waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada hiyo
 Fr akiendelea kutoa maubili kwa waumini wa Kikatoliki walihudhuria shughuli ya mazishi ya mpendwa wetu Alistides Kweyunga Muhazi
Mzee Onasmo Niyegira pichani akishiriki Ibada hiyo
 Ndugu Juhni Muhazi akishirikiana na dada yake kuwasha mishumaa kwenye Jeneza lenye mwili wa kaka yao mpendwa Alistides Kweyunga Muhazi
 Baadhi ya waombolezaji wakiwasili kushiriki shughuli ya maziko hayo , anaonekana pichani Mr Rahym Kabyemela , kijana Rama na kulia kabisa pichani ni Mwalimu Kashuku mdau wa Kijijini hapo
 Waombolezaji wakiendelea kumimini kwa wingi wao kwa ajili ya kshiriki shughuli ya maziko hayo
 Pichani kulia ni Bwana Joseph Angelo Mushana rafiki wakaribu wa Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi
Wadau kutoka bukoba mjini wakiwa wamefika kumfariki wafiwa.
 Ni muda kwa waombolezaji kushiriki zoezi la kutoa heshima za mwisho kwa marehemu (rast respect)


 Kaka Ermest Muhazi, akipokea utaratibu kutoka kwa mdau pichani kushoto
 Kaka wadogo wa marehemu wakitokwa na majozi wakati tukio la kutoa heshima za mwisho likiendelea


 Bi Anitha Rugarabamu  akitoa sadaka yake ,wakati wa tukio la kutoa heshima za mwisho
 Bro Andrew Muhazi akiteta jambo na Dada yake wakati tukio la kutoa heshima likiendelea...
 Poleni sana wafiwa wote, pole sana Kaka Ermest Muhazi
 Simanzi na Vilio vikiendelea kutawala kwa wafiwa wote..
 Wanakwaya wakiendelea na mpambio ya kmsifu Bwana...
 Baadhi ya wanafamilia kama wanavyo onekana pichani  wakiwa na nyuso zenye huzuni
 Vilio vya machozi vikiendelea kwa wanafamilia kufuatia msiba huu mkubwa wa kaka yao mpendwa
 Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea.
Zoezi la kutoa heshima za wisho kuuaga mwili wa mpendwa Alistides Muhazi
Poleni sana wafiwa.
Mama mzazi wa Marehemu Stide Muhazi wakati wa kutoa heshima za mwisho
Wanafamilia wakitoa heshima zao za mwisho kumuaga mpendwa wao
Hakika ni sianzi kubwa kwa mjane wa marehemu
 Dada Magdalena Muhazi akitoa heshima zake za mwisho
 Wadogo zake marehemu Alistides wakitoa heshima zao za mwisho
Sehemu ya waombolezaji pichani,Bwana Hafidh Nkurukumbi, Sadru,Frolence Mwebe (bandali) na Eric (Edan) Rugarabamu
 Mr. Rahym Kabyemela mara baada ya kutoa heshima zake za mwisho .
 Hakika ni simanzi kubwa kwa wanafamilia wote.
 Alex Muhazi pichani kushoto akiwa mwenye mawazo kufuatia msiba huu ya Kaka yake mpendwa.
 Wadau wakibadilishana mawazo wakati wa ratiba ya kutoa salaam za rambirambi
 Wadau wakibadilishana mawazo wakati wa ratiba ya kutoa salaam za rambirambi
 Bwana Mwemezi Michael Muhazi akibadilishana mawazo na Mzee Onesmo Niyegira.
 Waombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa wafiwa.
 Katika hili na lile pichani ni Bwana Rusenene na Kijana Albin Muhazi
 Mikono ya kuwafariji wafiwa ikiendelea..
 Mama Edan (Mrs Rugarabamu ) kushoto akiwafariji wafiwa
 Uncle Mjid Rajab na Mzee Nurag Galiatano wakiwa wameshiriki kikamilifu shughuli hii ya kumstili rafiki yao na jamaa yao Marehemu Alistides Muhazi
 Ndugu Mwemezi Michael Muhazi akimfariki Mdogo wake Aisack Muhazi .
 Msemaji wa Familia Kaka Ermest Muhazi akitoa neno la shukrani kabla ya kupokea salaam za rambirambi
Kaka Ereest akiendelea kupokea rambirambi kutoka kwa makundi mbalimbali


Mwakilishi wa Clouds Media Group akitoa salaam za rambirambi


Salaam za rambirambi  zikiendelea kutoka akundi mbalibali
 Wanafamilia ya Marehemu Mzee Muhazi pichani
 Taswira mbalimbali pichani waombolezaji waliohdhuria maziko hayo
Marehemu Alistides Kweyunga Muhazi pichani enzi za uhai wake.
 Zoezi la kuweka Udogo kwenye kaburi likiendelea
Kaka Andrew Muhazi akielekea kuweka Udongo kwenye kaburi la Kaka yake mpendwa.
 Wakati Kaka Andrew akiweka udongo kumstili mpendwa Kaka yake Alistides (Stide) Muhazi
 Ndugu Juseph Angelo na Mdogo wake Mwebembezi Angelo (Bandali) wakishiriki zoezi la kuweka udongo kwenye kaburi
 Kaka Ermest Muwazi akiweka Udongo kwenye kaburi la mdogo wake Mpendwa.
Wakati Utaratibu wa kuweka ashada ukiendelea


Wanaukoo na wanafamilia wakishiriki kuweka mashada ya maua
Dada wa Marehemu Alistdes Muhazi wakiweka shada la maua
Mjane wa Marehe akielekea kuweka shada la maua kwenye kabla la mme wake mpendwa


Mtoto Nardin Karungi Alistides wakati wa kuweka shada la maua
Wakati Mtoto wa Marehemu Alistdes Muhazi akielekea kuweka shada la maua
Wadogo wa Marehemu wakiweka Shada la maua.
 Makundi mbalimbali ya waombolezaji wakishiriki utaratibu wa kuwaka masha
 Utaratibu wa kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Mpendwa wetu Alstides Muhazi ukiwa unaendelea
 Hivi ndivyo ilivyokuwa safari ya mwisho wa Maisha ya Mpendwa wetu Alstides Muhazi
 Matukio mengine zaidi ya picha 300 yanapatika katika ukurasa wetu wa facebook
 Taswira eneo la makaburi mara baada ya mazishi hayo kukamilika
Padre akikamilisha ibada eneo la kaburini
Muda mchache kabla ya wafiwa kurudishwa ndani mara baada ya Mazishi kukamilika
Uncle Nurag Galiatano pichani kushoto akiwa ameungana na waombolezaji wengine
 Matukio ya picha mbalimbali kwa wanafamilia na marafiki wa marehemu kwa ajili ya kumbukumbu
 Wanafamilia katika picha ya pamoja kwenye kaburi ya Mpendwa wao, tunamuombea kwenye Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Alistides Kweyunga Muhazi ampumzishe mahala pema.
 John Muhazi na Kaka yake Albin Muhazi katika picha ya kumbukumbu kwenye kaburi la mpendwa Kaka yao Alstides Muhazi
 Bi Doris mara baada ya kupata picha kwenye kaburi kwa ajili ya kumbukumbu
Mwisho wa matukio ya picha kwa wanafamilia kwa ajili ya kumbukumbu
Maandalizi ya Msosi ....
 Taswira mbalimbali eneo la tukio..
 Wadau wakibadilishana mawazo mara baada ya maziko ya rafiki ya Alistides Muhazi
 Muendelezo wa matukio ya picha tukiwa bado eneo la tukio
 Muendelezo wa tukio ya picha yaliyojiri msibani hapa
 Dada Masty hii ni awali wakati wa utabulisho, yeye ni Dada kubwa wa familia ya Marehemu Mzee Muhazi
 Mama Deka akimpa mkono wa pole Kijana Mwemezi Michael Muhazi

Mwisho tunatumia fursa hii kukuja kuwa unaweza kupata habari mpya za uhakika kilahisi zaidi kwa kudownload Application ya Bukobawadau kwenye simu yako kutoka play store  GONGA HAPA KUDOWNLOAD BUKOBAWADAU APP

Mwisho: BUKOBAWADU MEDIA tunamuombea kwa Mola wetu apumzike kwa amani Stide Boy,Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe AMEEN
Next Post Previous Post
Bukobawadau