MATOKEO YA UCHAGUZI UBUNGE EALA
Washindi CCM:
1. Fancy Nkuhi (ke)
2. Happiness Legiko (ke)
3. Maryam Ussi Yahya (ke)
4. Dkt Abdullah Makame (me)
5. Dkt Ngwaru Maghembe (me)
6. Alhaj Adam Kimbisa (me).
Nafasi za Upinzani:
7. Eng. Mohammed Mnyaa
Wagombea wawili wa CHADEMA, Lawrence Masha na Ezekiah Wenje wamepigiwa kura nyingi za HAPANA hivyo hawajachaguliwa kuwa wabunge. Masha na Wenje kwa pamoja wamepigiwa kura 126 za NDIYO, na kura 198 za HAPANA. Kufuatia matokeo hayo nafasi 2 za Chadema kwa EALA zitaendelea kuwa wazi, na Chadema itahitaji kupeleka wagombea wengine bungeni kwa ajili ya kupigiwa kura.!
Kwa hisani ya Julius S. Mtatiro.!