MVUA YAZUA TAHARUKI MJINI BUKOBA LEO
Mvua kubwa imeendelea kunyesha leo Jumamosi April 8,2017 na kusababisha athari kwa wakazi wa Mji wa Bukoba,pichani wanaonekana wananchi wakipata usumbufu katika daraja la Kanoni kutoka eneo moja kwenda jingine.
Magari yaliyo egesha nayo yamepatwa na dhahama hii
Muonekano wa bango linalotoa angalizo kwa watu kujenga maeneo hayo
Darajani Kanoni wananchi wakipata tabu kuvuka, mpaka tunaingia mtamboni hatujajua ni kiazi gani cha athari iliyojitokeza .
Hali ilivyo mtaa wa Omkigusha Manispaa Bukoba.
Kiota Cha Sky motel Bukoba kikiwa kimezingirwa na Maji kufuatia mvua kubwa ilionyesha leo
Wananchi wakitazama hali ilivyo katika mitaa ya Uswahili Bilele pembezoni mwa Mto kanoni
Baadhi ya mali zilizo okolewa
Maeneo mbalimbali Mashuhuda wakifuatilia ili kujionea madhara ya miundombinu yaliyojitokeza
Mashuhuda yakiangalia hali inavyoendelea kufuatia mvua kubwa iliyonyesha leo Jumamosi Mjini Bukoba
Mwenyekiti wa Mtaa wa Omkigusha pichani katikati akielezea athari iliyojitokeza kwenye kaya yake
Baadhi ya wakazi wa Omkigusha wakiwa nje ya nyumba zao zilizoku
Heka heka za wananchi zikiendelea katikati ya viunga vya bukoba (kashozi road)
Umati wa watu wakiwa wamekusanyika kushhdia hali ilivyo eneo la Hamgembe darajani.
Maeneo kandakando ya Mto kanoni Manispaa Bukoba yakiwa yamefurika maji kufuatia mvua iliyonyesha kwa muda mrefu
Wenye uwezo wa kuwasaidia wenzao wakifanya kuwajibika kwa kubebana mgongoni.
Baadhi ya wakazi Omkigusha wakiwa juu ya paa na kuta za nyumba zao
Mwisho tunatumia fursa hii kukuja kuwa unaweza kupata habari mpya za uhakika kilahisi zaidi kwa kudownload Application ya Bukobawadau kwenye simu yako kutoka play store GONGA HAPA KUDOWNLOAD BUKOBAWADAU APP