WILAYANI NGARA:RISASI ZAOKOTWA ZIKIWA ZIMETELEKEZWA
Askari polisi
wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera akishuhudia Risasi 193 za silaha mbalimbali zinazotumika
kuuwa wanyama kwenye hifadhi baada ya kuokotwa kandokando ya mto Ruvubu katika
daraja kuu la Kasharazi kutoka mjini Ngara kuelekea Benaco wilayani, leo
April 19,2017 saa 10 alasiri
Wananchi wa kijiji cha Kasharazi wilaya ya Ngara mkoani Kagera wakichunguza Risasi 193 zilizookotwa leo April 19, 2017 baada ya kutelekezwa na watu wasiojulikana kando ya daraja la mto Ruvubu barabara kuu ya Ngara hadi eneo la K9 katika kijiji hicho.
Askari polisi wa wilaya ya Ngara makao makuu ya polisi ya wilaya mkoani Kagera wakishuhudia Risasi 193 za silaha mbalimbali zinazotumika kuuwa wanyama kwenye hifadhi baada ya kuokotwa kandokando ya mto Ruvubu katika daraja kuu la Kasharazi kutoka mjini Ngara kuelekea Benaco wilayani Ngara leo saa 10 alasiri
Muonekano wa Risasi zikiwa zimetapakaa kando kando ya daraja la Kasharazi zilizookotwa na wananchi leo April 19,2017

Askari
polisi wa Wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera PC Samweli Shayo (kushoto)na PC Slivanus (kulia) wakichunguza Risasi 193
zilizookotwa na wananchi wa kijiji cha Kasharazi wilayani humo jana April 19,
2017 (leo) baada ya kutelekezwa na watu
wasiojulikana kando ya daraja la mto Ruvubu barabara kuu ya Ngara .
Picha na
Shaaban Ndyamukama