Bukobawadau

RAIS MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA HOSTELI MPYA ZA UDSM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Hostel mpya 20 za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Hostel hizo leo Jijini Dar es Salaam. Hostel hizo zilizogharimu takribani sh. Bilioni 10 zilizotolewa kufuatia ahadi ya Rais Maguful,i ambapo ujenzi wake umefanya na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) chini ya usimamizi wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambapo linatarajiwa kutumiwa na wanachuo 3840.Kutoka Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandara (katikati).
Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndarichako akizungumza  katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Hostel mpya 20 zilizojengwa kufuatia ahadi ya Rais Magufuli aliyoitoa mwezi Juni mwaka 2016. Ujenzi wake umetekelezwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) chini ya usimamizi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na kugharimu takribani shilingi bilioni 10, ambapo Hosteli hizo zinatarajiwa kutumiwa na wanachuo 3840. 
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akiteta jambo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandara wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hostel hizo leo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa majengo mapya Hostel  za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo Jijini Dar es Salaam.
 Kwaya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ikitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi wa majengo mapya ya Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo Jijini Dar es Salaam.

Picha muonekano wa baadhi ya majengo mapya ya Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hostel hizo zilizogharimu takribani sh. Bilioni 10 zilizotolewa kufuatia ahadi ya Rais Maguful,i ambapo ujenzi wake umefanya na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) chini ya usimamizi wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambapo linatarajiwa kutumiwa na wanachuo 3840.
Rais Magufuli akipewa maelezo kuhusu Majengo mapya ya Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara baada ya kuzindua rasmi hosteli hizo leo jijini Dar es Salaam.Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ,Msanifu Majengo Elius Mwakalinga.Kutoka kushoto ni Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndarichako,Mke wa Rais, Mama Janeth Magufuli na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandara.
Rais Magufuli akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa majengo mapya ya Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam. Hostel hizo zilizogharimu takribani sh. Bilioni 10 zilizotolewa kufuatia ahadi ya Rais Maguful,i ambapo ujenzi wake umefanya na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) chini ya usimamizi wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambapo linatarajiwa kutumiwa na wanachuo 3840.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba walipokutana katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Hostel mpya za Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) leo Jijini Dar es Salaam. Hostel hizo zilizogharimu takribani sh. Bilioni 10 zilizotolewa kufuatia ahadi ya Rais Maguful,i ambapo ujenzi wake umefanya na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) chini ya usimamizi wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambapo linatarajiwa kutumiwa na wanachuo 3840. Kulia ni Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndarichako na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandara (kulia).
Rais Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara baada ya kuzindua rasmi majengo mapya ya Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam. Hostel hizo zilizogharimu takribani sh. Bilioni 10 zilizotolewa kufuatia ahadi ya Rais Maguful,i ambapo ujenzi wake umefanya na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) chini ya usimamizi wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambapo linatarajiwa kutumiwa na wanachuo 3840.

Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.

Next Post Previous Post
Bukobawadau