Bukobawadau

TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA STIDE MUHAZI


Kwa masikitiko tumepokea taarifa Za kifo cha Kaka yetu,rafiki yetu Stide Muhazi kilichotokea Usiku wa jana Ijumaa machi 31,Shughuli ya mazishi yake inatalajiwa kufanyika siku ya Jumatatu April 3,2017 Nyumbani kwao Kijijini Buganguzi -Muleba
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen!!
R.I.P Stide.
Next Post Previous Post
Bukobawadau