Bukobawadau

MATUKIO YA PICHA HARUSI YA BURUANI KICHWABUTA NA HASANATH MSWADIKU

Maharusi wetu Buruhani Kichwabuta na Mke wake Bi Hasanath wakiwa katika tabasamu pana baada ya shughuli ya ndoa kukamilika iliyofanyika Majuzi nyumbani kwao na Bi harusi na Sasa ni Siku nyingine na yakipekee tunashuhudia Shughuli ya Maulid kubwa ya harusi ya wawili hawa iliyofanyika mwishoni mwa Juma Mjini Bukoba na kuhudhria na umati mkubwa wa watu
Tunakosegezea mwanzo mwisho mtiririko wa matukio yaliyojiri katika shughuli hiyo
 Anameremeta Bibie Hasnath Bi harusi wetu.
Picha za maharusi wetu zilizochukuliwa mapema kabla ya kuelekea ukumbini
 Bwana Badru Kichwabuta pichani kushoto ambaye ndiye Kaka mkubwa wa familia na kaka mkubwa wa Bwana harusi wetu Buruani Kichwabuta
Mapema kabisa BUKOBAWADAU Madia tunatoa hongera kwako Buruani  na Mkeo Bi Hasanath Mswadiku pichani,masha Allah Mola awajaalie maelewano mapenzi na Maisha Mema!
Dada wa Bwana harusi wakionyesha kumvuta Kaka yao dhidi ya wifi yao
Muendelezo wa matukio ya picha za kumbukumbu.
Mr & Mrs Buruani Kichwabuta wakati na nyuso za furaha.
Maharusi wakiwa mbele wakifuatiwa na Best man na maid.
Wazazi wa Bwana Harusi katika picha ya pamoja na maharusi wetu, kutoka kushoto ni Mama Zidina,Mama Johari na Mama miraji Kichwabuta pichani kulia
 Kutoka pande za kamachumu anaonekana Dada wa Bi Harusi
Katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu pichani kushoto anaonekana Bro Aziz Kichwabuta kutoka US akiwa ameungana na familia yake kushiriki tukio hili la harusi ya mdogo wake
 Maid wa Bi harusi wetu akicheck na Camera yetu
Mama Zidna , Mama mzazi wa Bwana harusi akiwa nafuraha kubwa kumpata mka mwana.
Mwisho wa matukio ya picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu ya maharusi wetu
Maharusi wakipanda kwenye Gari mara baada ya matukio ya fukweni.
Bro Majid Kichwabuta katika hali ya Umakini kuhakikisha kitu kitu kinaenda sawa bin sawia..
 Mwisho wa matukio ya fukwreni, tayari kwa msafara kuelekea ukumbini
 Mrs Aziz Kchwabuta katika picha ya kumbukumbu na Mr & Mrs Badru Kichwabuta.
 Shangwe za wanafamilia  wakati wa msafara wa maharusi.
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta,Aziz Kichwabuta na Kuraish Kichwabuta katika picha ya pamoja
Mrs Ally Kichwabuta akiwa katika harakati za msafara wa maharusi
Msafara wa maharusi ukikatiza Viunga vya mji wa Bukoba.
 Msafara wa Maharusi ukiwasili eneo la tukio....
 Shangwe, nderemo, kwa wanafamilia zikiendelea wakati maharusi wamewasili eneo la tukio
Maharusi wakiingia Ukumbini.
 Maharusi wakiwapungia watu mikono wakati wanaingia ukumbuni
 Naam Bukowadau Media Wakati tukiendelea na matukio haya, Muhimu tuungane kuwaombea  maharusi wetu ndoa yao idumu..
 Taswira mbalimbali ukumbini watu wamejaa kwelikweli
Bi Hawa Hassan Kichwabuta ( Mama Husna) pichani akifurahia maharusi namna walivyo pendeza.
Muonekano wa Jukwaa upande wa Bwana Harusi
 Bi Jeanifer Murungi Badru Kichwabuta huyu ni mama wa Kazi akikabidhi mkasi kwa Bwana Harusi kwa ajili ya kukata Utepe.
 Bwana harusi Buruani Kichwabuta na Mke wake Hasanath wakikata utepe kuingia ukumbini.
 Sehemu ya waalikwa wakibadilishana mawazo.
 Baadhi ya waalikwa ukumbini
 Jukwaa la Bwana Harusi na Best man wake.
 Jukwaa la Bi Harusi na maid
Taswira ukumbini wakati shughuli inaelekea kufunguliwa rasmi.
 Dua ya ufunguzi ikiongozwa na Ammy Sued Frsh
Kasi ya kuchukua matukio kupita simu zao za Viganjani
Wanafunzi wa Madarasa kutoka Maruku wakitumbuiza.
Wanafamilia wakijimwaya kuwatunza watoto wa madarasa.
Bwana Salum Organizer akitoa neno kama mchenga wa shughuli hii.
 Bro Majid Kichwabuta akitoa neno kumshukuru rafiki yake mkubwa Bwana Salum
 Bwana Optaty Katibu akionyesha kuguswa na Ujumbe wa maneno kutoka kwa Bro Majid Kichwabuta
 Pamoja na Bwana Yakubu Omary  ndivyo walivyoweza kuongozana kama washenga mwanzoni kabisa huko kijijini Rutenge Kamachumu kwa Mzee Mswadiku
Mrs Hakim Kichwabuta pichani
 Wanafamilia wakati shughuli ikiendelea kuchukua kasi ukumbini
 Waumini wa Kiislam wakiwa wamesimama wakati wa kisomo cha kumsalia Mtume
Shughuli ikiendelea ni wasaa wa kumsalia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)
Anaonekana Mzee Abdulmalick pichani
Sehemu ya waalikwa ukumbini
Sehemu ya waalikwa wakifatilia kinachojiri ukumbini
Shughuli ikiongozwa na mmoja ya washereheshaji mahiri na mwenye Uwezo mkubwa
Bwana Muhaji Kachwamba akifuatiwa na Hajji Sadick Galiatano
BUKOBAWADAU MEDIA tunatoa hongera kwako Mdau Buruani  na Mkeo Bi Hasanath Mswadiku ,masha Allah Mola awajaalie maelewano mapenzi na Maisha Mema!
Hajji Mrisheid na Bwana Jumanne wakimtunza Sheikh Kakwekwe.
Muendelezo wa matukio  umati wa wageni walioweza kuhudhuria shughuli hii
Anaonekana Eunice Nyamwiza, Mama Nice na Mama Achi wakiwa wameungana na wadau wengine katika shughuli ya harusi hii
 #BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043
Pongezi kwa bwana Siraj Kichwabuta ambaye ni mwenyekiti wa familia mara baada ya kutoa neno la Shukrani kwa niaba ya familia ya Kichwabuta.

 Taswira mbalimbali ukumbini.
 Chereko chereko za harusi zikiendelea...!
Kijana mpambanaji Bushira
 Hajjath Mama zaituni ambaye ni Shangazi wa Bi Hasanath Mswadiku
 Ni mwendo wa Dufu Ukumbini
 Burudani ya Dufu ikiendelea kuchukua kasi
 Hakuna namna tunavyoweza kuelezea, kusifia uwezo wa Staili za miondoko hizi za kumsifia mtume
 Maharusi wakiwa tayali kupokea zawadi na nasaha  kidogo kutoka kwa Sheikh.
 Sheikh Haruna kichwabuta akitoa mkono wa pongezi na zawadi yake kwa Maharusi.
 Ni muda sasa wa Bwana Harusi wetu, Buruani Kichwabuta kukabidhiwa zawadi
 Zawadi ya Quran sambamba na zawadi za Kimila zinakabidhiwa na Kaka Mkubwa wa familia ya Kichwabuta Bwana Badru Kichwabuta
 Wanakumbatiana kwa furaha mara baada ya zoezi la zawadi maalum kukamilika
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta akiwa ameongozana sawia na Mme wake wakiwapongeza maharusi wetu Buruani na Hasnath
 Wajomba zake Bwana Harusi wakitoa neno la Shukrani kabla ya kukabidhi zawadi zao
 Pongezi za hapa na pale zikiendelea
 Machozi ya furaha yakiwatoka mtu na Dada yake wakati wanaagana.
 Wakati ndugu wakiaga kurejea nyumbani Rutenge Kamachumu
 Wageni kutoka kwao na Bi Harusi wakiaga.
 Matukio ya zawadi kutoka makundi mbalimbali
 Mama na Waka mwana wake ni Mrs Ally Kichwabuta na Mrs Aziz Kichwabuta.
 Furaha kubwa kwa Bi Harusi wetu wakati wa kupokea zawadi mbalimbali kutoka kwa ndugu na marafiki wa familia
Mrs Hakim Kichwabuta pichani
 Haji Mursheed pichani
 Kijana Mikdad akichukua Matukio kwa umakini mkubwa...
 Anaoneka Bwana Kabaka na Bwana Rajesh Patel pichani
 #BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043
Mwisho tunakujuza kua sasa unaweza kupata habari mpya za uhakika kilahisi zaidi kwa kudownload Application ya Bukobawadau kwenye simu yako kutoka play store BOFYA HAPA KUDOWNLOAD APP




Next Post Previous Post
Bukobawadau