Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen
Bw.Mfundo Peter Mfundo mwenye miwani katikati mwenyekiti wa Umoja wa wa Tanzania ujerumani akikakata keki
#Umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V watingisha jiji la Essen nchini Ujerumani baada ya kufanya mkutano mkuu kwa mujibu wa katiba ulioandamana na sherehe za ushindi wa viongozi wapya. Hapo jijini Essen katika ukumbi wa Bob's Cafe, watanzania zaidi ya 75 ambao wanaishi nchini humo walihudhuria mkutano huo ili kutimiza haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi wao, katika safu ya uongozi mpya Mhe Mfundo Peter Mfundo alichaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa umoja huo baada ya kukosa mpinzani. Makamo mwenyekiti mpya ni Mhe Salim Malumbo Jr. Katibu mkuu ni Julieth Myn, muweka Hazina ni Bi Nashe Mvungi, Mkaguzi wa mahesabu namba 1 ni Mhe Bi Jovither Mushashu, Mkaguzi wa mahesabu namba 2 ni mhe Bi. Lilian Sorogo. Mjumbe namba Moja ni Mhe Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja na Mjumbe namba 2 ni Mhe Vanessa Lymo. pamoja na mengi yalioongelewa kwenye mkutano huo azma ya umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V ni kuwaendeleza watanzaniawanaoishi hapa ujerumani na hata kuwaletea maendeleo watanzania wanaoisho Tanzania, umoja ni Nguvu na utengano ni Udhaifu
Mambo ya mnuso mnuso wa vyakula vya kinyumbani
Mwenyekiti wa Umoja wa Tanzania Ujerumani Bw.Mfundo Peter mwenye suti akiongea na watanzania wanaoishi ujerumani
Watanzania waishio Ujerumani wakifurahia Keki maalumu katika shamra shamra ya mkutano mkuu wao mjini Essen,Ujerumani
Watanzania wanaoishi Ujermani wakiwa katika furaha ya kufankisha mkutano wao mkuu mjini Essen,Ujermani