BALOZI KAMALA ATAKA WAKANDARASI WANAOPEWA MIRADI MISSENYI KUIKAMILISHA VIZURI
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala amewataka
wakandarasi wanaopewa kutekeleza miradi ya maendeleo wilaya ya Missenyi
kukamilsha miradi kikamilifu vizuri na kwa wakati. Balozi Kamala
anaonekana akikagua ukarabati wa zahanati ya kata Kakunyu. Balozi Kamala
amekataa kupokea mradi wa ukarabati wa zahanati hiyo baada ya kuambiwa
umekamilika wiki mbili zilizopita.
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala wakati akikagua mradi wa Ukarabati wa Zahanati ya kata Kakunyu.
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala wakati akikagua mradi wa Ukarabati wa Zahanati ya kata Kakunyu.