ENEO LA KIHISTORIA HUKO MPAKANI KAKUNYU
Katika picha ni Mawe namba 28 na 29 yaliyowekwa na Mkoloni Mjerumani
mwaka 1902 kuwa mpaka wa Tanzania na Uganda eneo la Kakunyu Wilayani
Missenyi. Hii ni mipaka ya kikoloni lakini Tanzania na Uganda Jana Julai
29, 2017 wamesaini Makubaliano ya kuuboresha kwa kuweka alama nyingi
zitakazoonekana kwa urahisi. Nini maoni yako kama mdau?
#BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043