MH RAIS WA JAMUHURI YA BURUNDI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE MH RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI - NGARA MKOANI KAGERA JULAI 20,2017
Rais
wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akiwasalimia wananchi wa Mji wa
Ngara kwenye Mkutano wa Hadhara
uliofanyika katika Uwanja wa Posta Mjini Ngara 20 Julai 2017
Rais
wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza Akihutubia wananchi wa Mji wa Ngara kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika
Uwanja wa Posta Mjini Ngara Mkoani Kagera 20 julai 2017
Rais wa
jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Rais wa
Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza mara baada ya Rais wa Burundi kuwahutubia wananchi wa Mji
wa Ngara kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika
Uwanja wa Posta Mjini Ngara 20 julai
2017
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Ngara kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika
Uwanja wa Posta Mjini Ngara Mkoani Kagera 20 Julai 2017

Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza mara
baada ya kuwasili katika viwanja vya Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai
20,2017
Rais
wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akiwapungia wananchi alipowasili
katika viwanja vya Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akikagua graride la lililoandaliwa na jeshi
la ulinzi la Tanzania JWTZ katika viwanja vya Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera
Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake
Rais wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza mara baada ya Kumpokea katika Uwanja vya
Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa
Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akiwasalimia wananchi wa Mji wa
Ngara kwenye uwanja wa Lemela mjini
Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta Jambo na Rais
wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza Mara baada ya kumpokea katika Mji
wa Ngara kwenye uwanja vya Lemela mjini
Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre
Nkurunziza kwa maongezi mjini Ngara
Mkoani Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na ujumbe
wake katika mazungumzo maalum ya kiserikali na Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe.
Pierre Nkurunziza na ujumbe wake Mjini
Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na ujumbe
wake katika mazungumzo maalum ya kiserikali na Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe.
Pierre Nkurunziza na ujumbe wake Mjini
Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamuhuri
ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza pamoja na mama Janeth Magufuli katika
Maongezi
Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mgeni
wake Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza wakiwapungia mikono
wananchimwa mji wa ngara wakati wakiwasili katika uwanja wa posta mjini Ngara
kwa ajili ya mkutano wa hadhara
Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mgeni
wake Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza wakiwapungia mikono
wananchi wa mji wa Ngara waliohudhulia
katika uwanja wa posta mjini Ngara kwa ajili ya Mkutano wa hadhara
Umati
wa ananchi wa mji wa Ngara waliohudhulia
katika uwanja wa posta mjini Ngara kusikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa posta mjini
Ngara julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni
wake Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza katika uwanja wa Lemela
Mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017 baada ya kumaliza ziara yake Rasmi ya
kiserikali Nchini