Bukobawadau

SHAKA AMALIZA ZIARA YA KIKAZI WILAYA YA MAGU, ATUA WILANI UKEREWE

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka, akishiriki Kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Mwamanga wilayani Magu
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka, akizindua shina la vijana wakereketwa wa CCM wilayani Magu
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka,(kulia) akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Mwamanga wilayani Magu
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka, akizindua shina la vijana wakereketwa wa CCM wilayani Magu
 Mwenyekiti wa UVCCM mkoani Mwanza Ruben Sixtus, akitoa salamu zake kwenye ziara ya Katibu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka mkoani Mwanza
 Viongozi mbalimbali wa CCM wilayani Magu wakiwemo mabalozi, wanachama pamoja na viongozi wa jumuiya za CCM wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka, alipokuwa akizungumza nao kwenye ofisi za CCM wilayani humo
 Kaimu Katibu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza wilayani Magu
Kaimu Katibu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akipokelewa  wilayani Magu majira ya Usiku 
picha zote na Fahadi siraji

Next Post Previous Post
Bukobawadau