TASWIRA KUTOKA KIVUKO CHA KYANYABASA
Muonekeano wa Eneo la kivuko cha Serikali cha Kyanyabasa kinachotoa huduma kwa wakazi wengi wa Bukoba Vijijini hususani wananchi wa Kishogo ,Kasharu na Bujugo
Muonekano wa Bango la Kivuko Cha Mv.Kyanyabasa
Katika harakati za hapa na pale Mdau akivuka Mto Kyanyabasi kuelekea Vijiji vya Ntoija na Kishogo Kata Kasharu Bukoba Vijijini