Bukobawadau

NYUMBA YA MBUNGE ZITTO KABWE YAUNGUA MOTO

Taarifa tulizozipokea muda huu ni kuwa nyumba ya Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe ya Mwandiga, Kigoma imeungua moto muda huu.
Kamati ya ACT Amani inafuatilia jambo hili. Taarifa zaidi zitawajia punde.
Habari kwa hisani ya Mohammed Babu Mwenyekiti - Kamati ya ACT Amani (Ulinzi na Usalama)
Next Post Previous Post
Bukobawadau