RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MADINI YA ALMASI NA TANZANITE KUTOKA KWA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai wakati wakisikiliza Taarifa ya Kamati
Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzanite iliyokuwa ikiwasilishwa na
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Maalum Doto Biteko Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza Taarifa
ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzanite iliyokuwa
ikiwasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Maalum Doto Biteko Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Spika wa Bunge Job Ndugai wakati wa hafla ya uwasilishwaji wa Taarifa za Kamati
maalum ya kuchunguza biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Viongozi
wa vyama vya Siasa wakijadiliana jambo wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa za
Kamati maalum ya kuchunguza biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge
iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia waliokaa),
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Tanzanite Doto
Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa
Kamati iliyochunguza madini ya Almasi Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU