UZINDUZI WA SAFARI ZA PRECISION DAR HADI KAHAMA
Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack akipokelewa na baadhi ya Watumishi wa
Shirika la Ndege la Precision Air na Kampuni ya Acacia , alipowasili katika
uwanja wa ndege wa Kahama, mkoani Shinyanga wakati a uzinduzi wa safari za
Precision mkoani humo. Nyuma yake ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkulru.
Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack akikata uteope kuashiria uzinduzi rasmi wa
safri za ndege za Shirika la Precision Air Tanzania Plc kati ya Dar es Salaam
na Kahama, Mkoani Shinyanga. Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili
Nkurlu (mwenye kofia) na Meneja Uratibu na Mahusano wa Precision, Hillary Mremi
(kulia).
Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack akijadiliana na Mkuu wa Wilaya ya Kahama,
Fadhili Nkurlu (mwenye kofia) wakati wa uzinduzi wa safari za ndege za shirika
la Precision Air kati ya Dar es Salaam na Kahama, mkoani Shinyanga. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.