LURDI YA BUKOBA OCT 22,2017 HIJA KWA BIKIRA MARIA NYAKIJOGA
Jumapili
ya leo Oct 22,2017 Maelfu ya waumini wa kikatoliki wameshiriki Ibada ya
Hija eneo la Nyakijoga Mugana lililopo Wilayani Missenyi
Picha kwa hisani ya Faustin Luta
Taswira mbalimbali kutoka eneo la Hija Nyakijoga MuganaPicha kwa hisani ya Faustin Luta
Askofu Kilaini akiongoza Ibada ya Hija kwa bikira maria Nyakijogo ineo lililopo Mugana-Missenyi
Ibada ikiendelea..
Kituo hiki cha Hija kilianzishwa kwa madhumuni ya kushiriki kiroho katika maadhimisho ya Jubilei ya miaka 100 tangu tamko rasmi la Kanisa la mwaka 1854, kuwa ni nguzo ya imani kwamba Bikira Maria aliumbwa bila dhambi ya asili.
Waumini wakiendelea kushiriki Ibada hiyo.