VITUO VYA KUTABIRI MAAFA YA MAFURIKO NA UKAME VYA FUNGWA NCHINI• Vinapatikana hapa Tanzania na Ethiopia pekee barani afrika.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe.Jenista Mhagama akisisitiza umuhimu wa vituo vya hali ya hewa vilivyofungwa
na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya usimamizi wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania ambapo
kutokana na uwezo wa vituo hivyo taarifa zake zinatumika kutabiri uwepo maafa
ya mafuriko na Ukame nchini, kushoto kwake ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa
Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali Mbazi Msuya, Meneja Kanda ya Kusini,
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, Daudi Amas
na Mratibu Mradi wa mifumo ya Tahadhari za mapema, Alfei Daniel, wakati
alipokuwa anakagua vituo hivyo mkoani Ruvuma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, David CChilambo, juu ya jinsi vituo vya hali ya hewa vilivyofungwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya usimamizi wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania ambapo kutokana na uwezo wa vituo hivyo taarifa zake zinatumika kutabiri uwepo maafa ya mafuriko na Ukame nchini, , wakati alipokuwa anakagua vituo hivyo mkoani Ruvuma, katikati ni Mkuu wa Wilaya Namtumbo, Luckness Amlima.

Moja
ya Kituo cha hali ya hewa kati ya vituo 36 vilivyofungwa na Ofisi ya Waziri Mkuu nchi
nzima kwa usimamizi wa mamlaka ya hali
ya hewa Tanzania ambapo kutokana na uwezo wa vituo hivyo taarifa zake
zinatumika kutabiri uwepo maafa ya mafuriko na Ukame nchini, , kutokana na
uwezo wa vituo hivyo vinavyopatikana hapa nchini na Ethiopia kwa bara la Afrika,
vimeongeza uwezo wa ufanisi wa utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa kutoka
asilimia 82 hadi asilimia 87 kwa sasa.
PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU