BUKENYA CUP 2017:Kamachumu Stend 1-1 Izigo Fc
Michuano ya kuwania kombe la #BukenyaCup2017 imeendelea leo Jumapili Nov 19,katika Uwanja wa Kalemela -Polisi Kamachumu kwa kuzikutanisha timu mbili zenye ushindani mkubwa Stend FC ya Mji Mdogo wa Kamachumu na Izigo Fc
Matokeo ni sare ya 1-1 bao la stend likifungwa na Mchezaji George Richard mnapo dk 78 kufuatia kazi nzuri ya mchezaji Irary Yunusu,Nao Izigo Fc wakapata kusawazisha bao hilo dakika chache baadaea kupitia kwa mshambuliaji wao mahiri Beranus Khalid aliyeweza kuunganisha mpira wa Close kutoka kwa winga machachari Jamiry Juma ikiwa ni dk 89 ya mchezo huo.
Mgeni wa heshima OSC Angelo wa kituo cha kamachumu akitoa nasaha kwa timu zote mbili
Wachezaji wa Timu ya Stend Fc ya Kamachumu
Wachezaji wa Timu ya Izigo Fc.
Mgeni maalum Mzee Geoge Lugakingira akiongozana na mgeni Rasmi kusalimiana na wachezaji wa timu zote mbili zinazokutana jioni ya leo Nov 19,2017
Mzee Geoge Lugakingira ambaye ni Afisa mtendaji Kata Kamachumu akisalimiana na wachezaji wa timu zote mbili
Manahodha wa timu zote mbili katika picha na waamuzi wa mchezo huo
Mashabiki wa Soka wakiwa tayari kushuhudia mpambano huo wenye lengo la kudumisha Ujirani mwema kwa udhamini mkubwa wa Mdau Ibrahim Bukenya
Tayari mpambano umeanza Uwanjani kati ya Stend Fc na Izigo Fc
Anaonekana Mzee Kabarabara pichani,Mdau mkubwa na mlezi wa Soka kata Kamachumu
Hakika mchezo huu umegusa hisia za watu wengi
Beki mahiri wa Izigo Fc akiwajibika uwanjani
Mdau Mohamed Kassim pichani
Pichani kulia ni Mh. Diwani Danstan akifuatilia mtanange huo
Taswira kutoka wanja wa Kalemela -Kamachumu,
Sehemu ya mashabiki wakifuatilia mtanange huo jumapili ya leo Nov 19,2017 Michuano ya #BukenyaCup
Taswira mbalimbali Uwanjani, mtanange ukiendelea

Michezo ni Utamaduni mzuri katika Jamii,Michezo ni furaha, michezo ni Afya, michezo ni Umoja
Hao ni wanazi wa Soka kutokapande hizi za Mji mdogo wa Kamachumu
Endelea kufatilia matukio ya picha kupitia mtandao wako pendwa wa #bukobawadau
Mtanange ukiendelea kutoka Uwanja wa Kalemela -Polisi Kamachumu
Sehemu ya mashabiki Uwanjani
Patashika Uwanjani kama unavyoweza kujionea kupitia picha,miamba miwili ikiendelea kuchuana

Muendelezo wa matukio ya picha Uwanja Stend Fc Uso kwa Uso na Izigo Fc
Mlinda Mlango Varelian Delphinius wa Stend Fc ya Kamachumu
Watu juu ya mti wakifuatilia Soka
Sehemu ya wapenzi wa Soka wakiendelea kufuatilia kinachojiri ni michuano ya #BukenyaCup2017
Kona ikipigwa kuelekea lango la timu ya Izigo FC
Mpaka mapumziko Stend Fc 0 - 0 Izigo Fc
Winga Wa Izigo Fc Jamiry Juma akielekeza shambulizi kwa timu pinzani
Mlind mlango wa Izigo Fc Yasini Issa akianzisha mpira
Wachezaji wa Stend Fc wakishangilia bao lililofungwa na Mchezaji George Richard
Dakika ya 78 Stend Fc 1-0 Izigo
Dakika za lala salama Izigo Fc wanasawazisha kupitia kwa mchezaji Beranus Khalid, Stend 1-1 Izigo
Mpaka kipenga cha mwisho kinapulizwa Uwanja wa Polisi Kamachumu #Stend 1 #Izigo 1